21 July, 2014

ALI KIBA IS BACK ON MUSIC INDUSTRY,AFTER ALONG TIME WITHOUT A HIT

Ni kama miaka miwili sasa bila kazi redioni wala kwenye Tv  sasa Ali Kiba yuko tayari kurudi tena, Utafahamu kuwa Tarehe 8 Jan 2012 wimbo wa Ali kiba ft Lady Jay Dee- Single Boy ulitoka na  Tarehe 17 Mei 2012 ndio ilitoka video ya Single Boy, Miezi michache baadae ikatoka My Everything iliyofanywa na Lamar na mixing kufanyika Mj Records.Sasa hii ndio count down cover ya kazi mpya ya Ali Kiba.

12 July, 2014

ODD, STRANGE AND BIZARRE

Actor Denis Podalydes removes his make-up after performing an act during the 26th Molieres theatre awards ceremony on June 2, 2014 at the Folies Bergere theatre in Paris.

09 July, 2014

12 June, 2014

JADA PINKETT SHOWS OFF SENSATION BIKINI BODY AS SHE SHARES KISS WITH WILL SMITH

The couple took a moment to just adore each other while enjoying the surf and sand in Hawaii, which we actually couldn’t fault them too much for, the longtime couple just look that good.At 42, Jada Pinkett Smith has a muscular, fit-as-heck bikini bod that girls half her age do squats all day to try to achieve, while Will-looking as youthful as ever despite the hair that grows in gray when he lets it-remains in tip-top shape at 45.And they still look so cute together while enjoying a quiet moment on the beach.Daughter Willow, her hair still a platinum-dyed pixie cut, was on vacation with them and was spotted taking a dip in the ocean with her mom, Jada’s hair currently long and curly after a foray into the partially shaved look.Thirteen-year-old Willow, meanwhile, is the spitting image of her parents-tall and lanky like her father with a gleam in her eye that reminds us of her mom.

NEW TRACK: CYNTHIA MORGAN - I'M TAKEN


BRAZIL VS CROATIA ENDSUP 3-1 BRAZIL LEADING THE GAME

Full–time • Arena Corinthians, São Paulo • Group A
  1. Timeline
  2. Match stats
  3. Lineups08 June, 2014

MUIGIZAJI MKONGWE MZEE SMALL WANGAMBA AFARIKI DUNIA

Mzee Small afariki Dunia. Habari za kusikitisha zilizotufikia hivi punde zinaarifu kuwa Mwigizaji maarufu na mkongwe katika fani ya vichekesho nchini Tanzania, Said Ngamba maarufu kwa jina la Mzee Small (59) amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu. Mzee Small amefikwa na umauti majira ya saa 4 za usiku wa Juni 7, 2014 katika Hospitali ya Taifa Muhumbili.
 Akiongea kwa njia ya simu mke wa marehemu, Bi Fatuma Saidi, ameithibitishia Father Kidevu Blog, kuwa Msanii Said Ngamba hatunae. Bi Said amesema kuwa marehemu mumewe amefikwa na umauti baada ya hali yake kubadilika jana (Juni 7) asubuhi na kumbikiza Muhimbili ambako alishinda nae akipatiwa matibabu na majira ya saa tatu usiku alirudi nyumbani na kumwacha kijana wake akimwangalia mgonjwa na ilipotimu saa tano usiku kijano huyo alirudi na kusema baba amefariki. “Nikweli Mzee Small amefariki”….yalikuwa ni maneno machache yaliyobenba uchungu mzito kufuatia kifo chaMipango ya Mazishi inafanyika nyumbani kwa marehemu Tabata Mawenzi, Dar es Salaam. Blog ya Father Kidevu inatoa pole kwa familia yake yote, Ndugu jamaa na marafiki waliofikwa na msiba huo.
Tiririka na Maoni Yako Hapa!
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...